Saturday, December 6, 2014

Jinsi Ya Kununua Flat Screen Screen


 

Kubwa Kiasi Gani unahitaji? 
 Kitu cha kwanza katika Kununua Flatscreen ni Ukubwa wa Tv "Inch"
 TV Ndogo ni mahususi katika Chumba kidogo ambapo watazamaji wanakua karibu na tv.
 lakini kwa Chumba kikubwa unahitaji Tv Kubwa. kwa kawaida tv kubwa zina kua na mifumo mingi zaidi ya ndogo,hivyo ikiwa ulipanga bajeti ya ndogo basi nivizuri ukanunua kubwa kwani itakufanya baada usinunue tena tv. kitu kingine cha kuzingatia ni wapi utaiweka tv utakayonunua ,ikiwa una FlatScreen Stand unapaswa kununua tv itakayo tosheana tv. au mahali unapo iweka uhakikishe panatoshana na tv kwa kipimo.

  Ni TV aina Gani Utanunua?

Ikiwa ushafahamu ni Screen kubwa kiasi gani utanunua,kinachofuata ni Technolojia gani imetumika katika TV. teknolojia inayotumika zaidi katika Flatscreen ni LCD TVs ambayo sio wakati wote inatoa picha nzuri.lakini inapicha yenye ubora mzuri zaidi kwa bei rahisi. watu wengi wanashangazwa na bei za tv katika miji mbalimbali na maduka. utashanga tv inaonekana vilevile lakin bei tofauti moja rahisi na nyingine ghali. Ikiwa unahitahiji kutazama video zenye ubora wajuu(HD),cha kwanza ni LED-Backlit LCD Tvs (LED TVs). LED Tvs kwa kawaida ni zina umbo jembamba zaidi ya LCD Tv,zikiwa na picha angavu. LED TV kioo chake kwa kawaida ni cheusi kabisa. Ikiwa Utahitaji TV yenye Picha Bora zaidi ya LED TV basi ni PLasma TV. Plasma TV zinakua na Rangi inayong'aa zaidi na Dark Blacks.Plasma Tv kwa kawaida ni Ghali zaidi ya LCD Tv kutokana na kuanzia inch 42" kuendelea.zikiwa ni nzito,kioo chake iwapo kitagongwa hupasuka tofauti na ilivyo kwa LED/LCD tv

 Kuhusu Resolutions.?

 Unaweza usijue nini maana ya RESOLUTION katika Flatscreen,Hapa unahitaji kujua
 HD 720p: ukubwa wa picha ni mdogo yaani kuonesha nusu screen kwa juu utaona Black na chini black lakini ni HD.

HD 1080p: Resolution hii imekua ikitumika zaidi na makampuni mengi ya TV,na inafahamika kama FULL HD ikijaza SCreen Picha.ingawa kwa sasa makampuni makubwa yametoa Resolution Mpya Ya 4K ultra HD Tv.ikiwa na picha Bora zaidi ya LED,Plasma na LCD. Ni vizuri Kununua TV zenye Resolution ya 1080p au 1080i.

 Teknolojia Gani Ipo Ndani ya TV. 

 Vitu kama MNL,Wifi,Touch,audio,nakadhalika mara nyingi huzifanya tV kuwa na mvuto zaidi. Mfano.

Sony LED TV zinamfumo wa DIgital Setlelite Tv mtumiaji anaweza tazama TV chanel zilizopo katika Setlelity bure kulingana na eneo alilopo. kwa tanzania mfumo unasumbua na mambo ya kulipia kwani tv hizi hazina makubaliano na mtu chanel yoyote itawekwa.

LG LED tv: Katika USB wao wana Play Video Formart yoyote ile (FLV,MP4,AVI,WMV,MKV n.k)
Quantity : Add to Cart

2 comments:

Slider[Style1]

Sponsor

Flickr Images

Featured Video

Video Of Day

Tag Line